MAPINDUZI CUP KMKM VS MIEMBENI UNITED IMESHINDA 1-0

 Kikundi cha Borafi kikihamashisha michuano ya Kombe la Mapinduzi katika uwanja wa Amani, wakati wa mchezokati ya Miembeni United na KmKm.  
Beki wa timu ya Miembeni United Azizi Shaweji (kushoto) na mshambuliaji wa timu ya KmKm Haji Simba, wakiwania mpira katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi, timu ya Miembeni United imeshinda 1-0.
Golikipa wa timu Miembeni United Farouk Ramadhani akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa timu ya KmKm.Khamis Ali.  
 Mshambuliaji wa timu ya KmKm, Haji Simba, akiwatoka mabeki wa timu ya Miembeni United. 
 Mshambuliaji wa timu ya KmKm Khamis Ali, akimtoka beki wa timu ya Miembeni United Suleiman Ilunda. 
 Mshambuliaji wa timu ya Miembeni United Monja Liseki, akiruka juu kutuliza mpira na huku beki wa timu ya KmKm Said Khalid, akijianda kumzuwia asilete madhara golini kwake. timu ya Miembeni United imeshinda 1-0.
Muamuzi wa mchezo wa Miembeni United na KmKm Kisaka akiteka na mshika kibendera.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Templateism Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.