Habari za Punde

DK.SHEIN AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI IKULU

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akitowa Taarifa ya Serikali kuhusiana na kutokea kwa Ajali ya Meli usiku wa kuamkia leo huko katika mkondo wa Nungwi.

 WAANDISHI wa Habari wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akitowa Taarifa ya Serikali kwa Wananchi kuhusiana na ajali ya Meli ya  MV Spice.


MKURUGENZI wa Mawasiliano Ikulu Hassan Khatib akiongoza  kikao cha taarifa ya Rais wa Zanzibar akiitowa kwa Waandishi wa Habari wa vyomba mbalimbali Ikulu ya Zanzibar kutokana na ajali ya Mele ya MV.Spice

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.