Habari za Punde

RAIS KIKWETE AONANA NA WAZIRI WA NISHATI WA UINGEREZA, AFUNGUA KONGAMANO LA MKAKATI WA KIMATAIFA KUBORESHA MIUNDOMBINU

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Waziri wa Nishati na Mabadiliko ya Tabia Nchi wa Uingereza Mhe. Greg Baker, mazungumzo hayo yamefanyika leo Ikulu jijini Dar-es-Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadaye kufanya mazungumzo na Waziri wa Nishati na Mabadiliko ya tabia Nchi wa Uingereza Mhe Greg Baker Ikulu jijini Dar es salaam leo April 15, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Kongamano linalohusu Mkakati wa Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu katika Ukanda wa Kati (Central Transport Corridor) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo


Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kongamano linalohusu Mkakati wa Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu,katika Ukanda wa Kati (Central Transport Corridor) baada ya kulifungua  katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo April 15, 2014(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.