Habari za Punde

Yanga Hoi kwa Atletico yafungwa 2--0

 Wachezaji wa timu ya Yanga wakiingia Uwanjani katika mchezo wa Ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Kagame inayofanyika Uwanja wa Taifa  Mjini Dar-es- Salaam 
 Moja ya kizazaa golini kwa timu ya Yanga  wakati mikicheza na timu ya Atletico ya Burundi mchezo ulifanyika uwanja wa Taifa, timu ya Atletico imeshinda 2--0 
Wachezaji wa timu ya Yanga wakitoka uwanjani kwa kipigo cha mabao 2-0.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.