Habari za Punde

Wake wa Viongozi Watowa Msaada wa Vyakula kwa Wazee wa Welezo na Sebleni.

 Mke vwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi akisalimiana na Wafanyakazi na Wazee wa Sebleni alipofika kutowa msaada wa Vyakula kwa ajili ya Mwezi wa Ramadhani kwa Wzee hao. 
 Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi akizungumza na Wzee wa Sebleni alipokuwa na Ujumbe wa Wake wa Wawakilishi na Wabunge kutowa Msaada wa Vyakula kwa Wazee ili kuwasaidia katika mwezi wa Ramadhani.


 Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi akimkabidhi moja ya bidhaa zilizotolewa kwa pamoja na Ke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mama Asha na Wake wa Wawakilishi na Wabunge kwa ajili ya mwezi wa RamaSdhani. 
 Katibu Mkuu Wizara ya Ustawi wa Jamii Mhe Fatma Bilal, akitowa maelezo ya Makazi ya Wazee wa Welezo. 
 Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Mama Asha Balozi, akimkabidhi kanga mmoja wa Wazee wa Welezo, Bi Asha. 
 Mke wa Makamu wa Pili wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif Iddi,akimuakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akimkabidhi msaada wa Vyakula kwa Wzee wa Kijiji cha Wazee Welezo kwa ajili ya Mwezi wa Ramadhani Mkuu wa Kijiji hicho Sr.M.Gemma Rodrigues, vilivyotolewa na Mama Shein, Mama Asha Balozi na Wake wa Wawakilishi na Wabunge wa Chama cha Mapinduzi, makabidhiano hayo yamefanyika katika makazi yao Welezo. 
Wake wa Wawakilishi na Wabunge wakimsikiliza Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha Balozi akizungumza na Wazee wa Kijiji cha Wazee Welezo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.