Habari za Punde

DK.Shein Akutana na Mabalozi

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na ujumbe wa Uongozi wa Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,ukiongozwa na Rais wa Jumuiya hiyo Awadh Ali Said,(wa pili kushoto).[Picha na Ramadhan Othman,ORZ.]


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mwakilishi wa Katibu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Usafiri wa Baharini (IMO) William Azuh,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa Mazungumzo . 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Mwakilishi wa Katibu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Usafiri wa Baharini (IMO) William Azuh,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa Mazungumzo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwakilishi wa Katibu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Usafiri wa Baharini (IMO) William Azuh,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa Mazungumzo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Kiongozi wa Mabalozi waliopo Tanzania,pia Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Juma Alfani Mpango,(katikati) na Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu(UAE) pia Kiongozi wa Mabalozi wa Nchi za Kiarabu nchini Tanzania,Mallalla Mubarak Suweid El-Amri, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa
Mazungumzo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.