Habari za Punde

Mamia Wajitokeza kwa Wingi Mbio za Susan G Komen Kumaliza Vita Dhidi ya Maradhi ya Saratani Washington DC



Wananchi hao wakiwemo waTanzania walikusanyika katika viwanja vya Down Town Washington DC siku ya Jumamosi June,2,2012 katika kuitikia wito wa kuunga mkono wanawake ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa saratani ya maziwa, utafiti na elimu dhidi ya ugonjwa huo

Kina dada wwakiwa katika matembezi ya kupiga vita ogonjwa wa saratani ya maziwa siku ya Jumamosi June,2,2012 ndani ya washington D.C nchini Marekani.


~Rais wa Jumuia ya waTanzania DMV Mh. Iddi Sandaly, wakwanza kushoto, Waheeda Margaret Gathesha, Chief wa swahilivilla Abou Shatry, Aunt Rehema, pamoja na Salma Jay Jay pia alikuwepo katika matembezi ya kupigana na ujongwa wa saratani ya maziwa hapa Washington DC.

Team Tanzania baada ya kumaliza matembezi ya Susan G.Komen. dhidi ya kupiga vita maradhi ya Saratani ya maziwa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.