Habari za Punde

Wiki ya Maadhimisho ya Upigaji Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya.


Afisa Uhusiano wa UN Tanzania Stella Vuzo, akizungumza katika moja ya Nyumba za Sober House,Mpendae ikiwa ni maadhimisho ya kupiga Vita matumizi ya Dawa za Kulevya.
Dk. Mahmoud akizungumza jinsi ya vijana wanavyoishi katika nyumba hizo na kupasa ushauri kupitia kwa viangozi wa Sober House.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.