Habari za Punde

Waziri Mbarouk Awaahidi Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Shs. milioni moja kila mmoja.

 Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe. Said Ali Mbarouk, akimkabidhi Bendra ya Zanzibar Nahodha wa timu hiyo  Abdi Kassim  wakati wa kiiaga timu hiyo alipowaalndalia chakula cha Mchana Bwawani hoteli leo.
  Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe. Said Ali Mbarouk, akitowa nasaha zake kwa Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar alipoitembelea Kambi hiyo na kujumuika nao katika Chakula cha Mchana baada ya kuwakabidhi Bendera wakiipeperushe Nchi Iraq katika michuano ya Nchi Zisiko kuwa wanachama wa FIFA.
Mwenyekiti Baraza la Michezo Zanzibar Shery Khamis, akitowa hali ya Kambi ilivyona kufikia leo wakati wa kuiaga timu hiyo katika ukumbi wa Bwawani hoteli.
 Wachezaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar wakimsikiliza Waziri wa Michezo Mhe. Said Mbarouk, alipowatembelea katika kambi yao na kuwaandalia chakula cha mchana na kuwakabidhi Bendera ya Zanzibar.
 Kocha wa Timu ya Taifa ya Zanzibar  Hemed Moroco  na Viongozi wa timu hiyo wakimsikiliza Waziri wa michezo.


 
  Nahodha wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Abdi Kassim, akizungumza na waandishi wa habari za michezo kuhusuana na maandalizi ya timu yao na vipi wanaweza kufanya vizuri katika michuano hiyo.
 Shekh. Juma Mmanga akisoma dua baada ya timu hiyo kukabidhiwa Bendera na Waziri Mbarouk, kwa aijili ya Kuiwakilisha  Zanzibar katika mashindano ya Nchi siziso kuwa Wanachama wa FIFA, yanayofanyika Nchi Iraq wiki ijayo inatarajiwa kuondoka kesho kuelekea huko.  
 Wachezaji wakipiga msosi ulioandaliwa na Mhe Waziri katika hoteli ya Bwawani.
 Nahodha wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Abdi Kassim, akizungumza na waandishi wa habari za michezo kuhusuana na maandalizi ya timu yao na vipi wanaweza kufanya vizuri katika michuano hiyo. 




2 comments:

  1. Naona suala la usalama halijagusiwa na huko UWAMSHO ndio kwao!

    ReplyDelete
  2. Bongo lala wewe!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.