Habari za Punde

Waziri wa Biashara na Viwanda Nassor Mazrui akifunga Maonesho ya Wafanyakazi ya Meo Mosi Viwanja vya Amaan.


 Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Nassor Mazrui, akifunga maonesho ya Wafanyakazi ya Mei Mosi katika Viwanja vya Amaan nje, leo jioni.
 Baadhi ya washiriki na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wakimsikiliza Waziri wa Biashara akifunga maonesho hayo na kutowa zawadi kwa washindi kwa mwaka huu wa 2012.  
 Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Mazrui, akimkabidhi Ngao ya Ushindi wa Kwanza kwa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, baada ya kuibuka mshindi kwa mwaka huu. akipokea zawadi hiyo Mfayakazi wa Kamisheni Fatma Omar. yaliofanyika katika viwanja vya Amaaan nje.
 Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Mazrui, akimkabidhi Ngao ya Ushindi wa Pili kwa Wizara ya Kilimo na Maliasili Zanzibar, baada ya kuibuka mshindi kwa mwaka huu. akipokea zawadi hiyo Mfayakazi wa Kilimo Fatma Hassan. yaliofanyika katika viwanja vya Amaaan nje.

 Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe.Nassor Mazrui, akimkabidhi Ngao ya Ushindi wa Tatu, uliotolewa na Shirika la Posta Tanzania Kanda ya Zanzibar, baada ya kuibuka mshindi kwa mwaka huu. akipokea zawadi hiyo Mfayakazi wa Shirika la Posta Tanzania Halima Abdalla.yaliofanyika katika viwanja vya Amaaan nje.


 Washiriki wa maonesho wakimsikiliza Waziri wa Biashara akifunga maonesho hayo.
 Jopo la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania Kanda ya Zanzibar, waliofanikisha ushindi wa Tatu katika maonesho ya Wafanyakazi ya Mei Mosi wakiwa na ngao yao ya Ushindi na Cheti cha ushiriki wakiwa katika viwanja vya Amaan. 
Hawa ni Wadau wa Posta wakitowa Elimu kwa wateja wanaofika katika banda lao kujionea mambo ya Posta, wakiwa na furaha yacushindi wa Tatu wa Maonesho hayo.
 Afisa Kilmo Mbweni Hamadi Mussa, akitowa maelezo ya moja ya Trekta la kulimia mpunga, kwa Waziri wa Biashara Mhe.Nassor Mazrui. alipofika kufunga maonesho hayo. 
 Afisa Kilimo wa Chuo cha Kilimo Kizimbani Shaibu Nindi, akitowa maelezo kwa Waziri wa Biashara Mhe. Nassor Mazrui, alipotembelea banda hilo kujionea miche mifupi ya michungwa na mengineo.
Watoto wakiwa na vipeperushi vya Shirika la Umeme wakihamashisha wateja katika banda hilo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.