Habari za Punde

 Wananchi wakiangalia Samaki aina ya Papa aliyevulia katika bahari ya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja, ambaye anakisiwa kuwa na kilo 150, akipasuliwa ili kuweza kuuziwa kwa  Wananchi wanofika katika marikiti hiyo kupata kitoweo katika maakuli yao.Papa huyu anakaribia kufikia urefu wa futi tano na nusu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.