Habari za Punde

Mji wa Zanzibar Ukiwa katika Amani na Utulivu.

 Watalii wanaotembelea Mji wa Zanzibar wakiwa katika hali ya amani na utulivu wakitembelea maeneo ya Mji Mkongwe kujionea sehemu za historia katika mitaa hiyo, bila ya kupata bughudha,   
 Hali ya mitaa ya Mji wa Zanzibar ikiwa katika hali ya Utulivu na Amani na Wananchi wakiwa katika harakati zao za kawaidi katika mitaa ya Darajani, wiki iliopita ilikuwa na vurugu za hapa na pale.
Mafundi  wa  Baraza la Manispa Zanzibar  wakiweka taize katika bustani ya Mkunazini ukingo wa barabara ya kisiwandui ikiwa ni moja ya kuimarisha hali ya mazingira mazuri ya Mji wa Zanzibar katika mitaa ya Mji Mkongwe, kama walivtyokutwa na ndau wetu wakiwa kazi  wakifanyakazi kwa utulivu na amani.   

1 comment:

  1. Basi UWAMSHO wakiona hivyo watataka kulia!
    Hawa kama kweli wana uchungu si wangeandamana ili lile jumba refu(treni) pale Darajani likatengenezwa na kupigwa rangi.. Mji ukapendeza,linatia aibu!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.