Habari za Punde

Mahafali ya Chuo Cha Afya Mbweni Zanzibar.

 Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dk Malik Abdalla na Walimu wa Chuo cha Afya Mbweni wakipokea maandamano ya Wahitimu ya Fani mbalimbali katika sherehe za Mahafali ya Tisa ya Chuo hicho yaliofabnyika Mbweni. 

Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dk Malik Abdalla akimkabidhi Cheti cha Uuunguzi Muhitimu Bushra Bakari.katika sherehe za Mahafali ya Tisa ya  Chuo hicho yaliofanyika katika viwanja vya Chuo hicho Mbweni.


MKURUGENZI Mkuu Wizara ya Afya Dk.Malik Abdallah akimkabidhi Cheti Mwanafunzi Bora katika fani ya Uuguzi na Maradhi ya Akili  Hassan Ali Haji, baada ya kufanya vizuri masomo yake ya Uuunguzi katika Chuo hicho.



BAADHI ya Wazee na Waalikwa katika Mahafali ya Chuo cha Afya Mbweni wakiwea katika viwanja vya Chuo hicho wakifuatilia sherehe za kutunukiwa Shahada Wahitimu hao.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.