Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Jamuhuri na Zimamoto yatoka kifua mbele 2--2

 Wachezaji timu ya Jamuhuri wakimlalamikia mshika Kibendera kwa kuwaminyia mchezaji wa timu ya Zimamoto amefunga goli akiwa ameotea, na yeye hakuchukuwa hatuwa ya kuinua kipendera kuonesha ishara ya mchezaji huyo ameotea.
 Wachezaji wa timu ya Jamuhuri wakiwa wamemuweka kati mshika kibendera, wakimlalamikia kutoonesha kibendera  cha kuotea mchezaji wa timu ya Zimamoto wakifunga goli la pili katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar, uliofanyika uwanja wa Amaan. timu hizo zimetoka sare ya 2--2.  




Majukwaa ya Uwanja wa Amaan yakiwa matupu kutokana na Wapenzi wa mchezo huo kutokuwa na ligi hiyo kutokuwa na mvuto wa kufutia wapenzi kwa kukosa wadhamini. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.