Habari za Punde

DK..Shein Akutana na watendaji wa Wizara ya Habari Utamanduni Utalii na Michezo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,utamaduni na Michezo,katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Wizara hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar jana,(kushoto) Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad. 

 Baadhi ya Wakurugenzi na Maofisa wa Idara mbali mbali katika Wizara ya
Habari wakiwa katika mkutano na Rais wa Zanzibar,Dk.Ali Mohamed
Shein,(hayupo pichani) katika kujadili utendaji wakazi kwa kipindi cha
miezi mitatu kwa Wizara hiyo,ukiwa ni mpango wa Rais wa kuzungumza na
kila Wizara,mkutano huo ulifanyika jana Ikulu Mjini Unguja.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.