ASSALAAMU 'ALAYKUM NI KATIKA KUSHIRIKIANA KWA KUPEANA HABARI KWA PICHA NA MATUKIO, KUKUMBUSHANA YALIYOJIRI HUKU NA KULE NA KUWEKA KUMBUKUMBU AMBAYO WEWE UNAETEMBELEA ITAWEZA KUKUHABARISHA AU KUKUMBUSHA KITU, JAMBO AU TUKIO
Thursday, February 23, 2012
Issa Michuzi na Othman Maulid
Mpiga picha wa Daily News na mmiliki wa Blog Maarufu ya jamii Issamichuzi.blogspot.com akibadilishana mawazo, mikakati na mpiga picha wa Zanzibar Leo na mmiliki wa blog ya zanzinews.blogspot.com.
wazee, najua mnabadilishana uzoefu, hongereni kwa kazi mnayoifanya!..Mungu awabariki.
ReplyDeleteMzee Othman zungumza na Michuzi akuunganishie matangazo ya biashara uengeze kipato kidogo...
ReplyDelete