Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Akiangalia karafuu zilizokatwa wakati zikisafirishwa kwa njia ya magendo.Karafuu hizo zikiwa zimehifadhiwa katika kituo cha ZSTC, huko katika Bandari ya Wete jana.(Katikati) ni mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein, (kushoto) Naibu Meneja wa ZSTC Pemba, Hamad Khamis Hamad
WANANCHI DODOMA WAJITOKEZA KUFANYA USAFI SHULE YA MSINGI MLIMWA KUEPUKA
MAGONJWA YA MLIPUKO
-
Na. Dennis Gondwe, KIWANJA CHA NDEGE
WANANCHI wa Mtaa wa Osterbay, Kata ya Kiwanja cha Ndege Halmashauri ya Jiji
la Dodoma wamejitokeza kufanya usafi wa m...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment