Wadau mlio ughaibuni mmeona hygiene - jinsi tunavyohakikisha hatupatwi na vijidudu vinavyosababisha maradhi licha ya Nduaro kushughulikiwa chini ambako hali yake ya usafi kama unayoiona. Kwani hata pweza kwanza lazime apate kichapo cha kupigwa na chini ili aregee na chini kwenyewe ni sehemu yoyote. Kisha huoshwa tayari kwa mapishi.
AGENDA, Wadau waweka mipango kutokomeza Taka za betri chakavu
-
NA SAID MWISHEHE, MICHUZI TV
WADAU wa mazingira nchini wamesema umefika wa kutengenezwa sera na miongozo
ambayo itaongoza wawekezaji wenye viwanda vya kuch...
48 minutes ago
No comments:
Post a Comment