Habari za Punde

UZINDUZI WA MRADI WA UMEME PEMBA - TANGA WAZINDULIWA LEO 3-6-2010

KAIMU MENEJA WA SHIRIKA LA UMEME ZANZIBAR HASSAN ALI MBAROUK AKITOWA MAELEZO YA WAYA WA MRADI WA UMEME TANGA PEMBA ULIKOPITIA KWA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, DK. AMANI ABEID KARUME ALIPOTEMBELEA KITUO CHA KUPOKELEA UMEME WESHA IKIWA NI MOJA YA SHEREHE ZA UZINDUZI HUO.
KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI, UJENZI, NISHATI NA ARDHI MWALIM ALI MWALIM AKITOWA HISTORIA YA MRADI WA UMEME KUTOKA PEMBA TANGA KATIKA SHEREHE ZA UZINDUZI WA MRADI HUO.

VIONGOZI WA SERIKALI WAKIFUATILIA SHEREHE ZA UZINDUZI WA MRADI WA UMEME TANGA PEMBA.


KAIMU BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA SVEIN BAERA AKITOWA RISALA KWA NIABA YA NCHI YAKE KWA KUFANIKISHA MRADI HUO WA UMEME KUTOKA TANGA - PEMBA ULIOFANYIKA UWANJA WA GOMBANI.

WAZIRI WA MAJI UJENZI NISHATI NA ARDHI MANSOUR YUSSUF HIMID AKITOWA MAELEZO YA MRADI HUO WAKATI WA UZINDUZI WAKE ULIOFANYIKA GOMBANI PEMBA.
WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAJI, UJENZI, NISHATI NA ARDHI NAO WAKISHUGHUDIA UZINDUZI HUO
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. AMANI ABEID KARUME AKIWAHUTUBIA WANANCHI KATIKA SHEREHE ZA UZINDUZI WA MRADI WA UMEME PEMBA - TANGA ZILIZOFANYIKA UWANJA WA GOMBANI.
MAAFISA WA UBALOZI WA NORWAY NA WATAALAM WA KAMPUNI ILIYOTANDIKA WAYA WA UMEME KUTOKA TANGA - PEMBA WAKIMSIKILIZA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI AKITOWA NASAHA ZAKE BAADA YA KUZINDUWA MRADI HUO.
WANANCHI WA KISIWANI PEMBA WAKIMSIKILIZA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI AKITOWA HUTUBA KATIKA SHEREHE ZA UZINDUZI WA MRADI WA UMEME PEMBA ULIOFANYIKA UWANJA WA MPIRA GOMBANI.

NA SISI PIA TULISHUHUDIA UZINDUZI HUO NDIVYO INAVYOONEKANA WAKISEMA SURIA MSHAMBA MWENYE MIWANI MFANYABIASHARA WA KWA HAJITUMBO UNGUJA.
UMEME HUWOO...... PEMBA KUTOKA TANGA PEMBA AKIZINDUWA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. AMANI ABEID KARUME KATIKA SHEREHE ILIOFANYIKA UWANJA WA GOMBANI.

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. AMANI ABEID KARUME AKIZINDUWA MRADI WA UMEME WA UHAKIKA KUTOKA TANGA- PEMBA KATIKA UWABNJA WA GOMBANI, ANAEANGALIA WAZIRI WA MAJI, UJENZI, NISHATI NA ARDHI MANSOUR YUSSUF HIMID.
VIONGOZI WA SERIKALI NA WA SIASA WAKIITIKIA DUWA BAADA YA KUZINDULIWA MRADI HUO NA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK. AMANI ABEID KARUME ILIOFANYIKA UWANJA WA GOMBANI PEMBA 3-6-2010

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.